Chelsea tayari kupigania ubingwa msimu huu?

Septemba 12 mwaka  huu msimu mpya wa Ligi kuu England. Maandalizi ya msimu tayari yameanza kwa timu mbalimbali. Wageni wa Ligi,

Septemba 12 mwaka huu msimu mpya wa Ligi kuu England. Maandalizi ya msimu tayari yameanza kwa timu mbalimbali. Wageni wa Ligi hiyo Leeds United nao wamefanya usajili kuimarisha kikosi chao kwa kumchukua mshambuliaji hodari wa Valencia, Rodrigo. Lakini gumzo kubwa lipo kwa kikosi cha Frank Lampard yaani Chelsea. Timu hiyo ilitumikia adhabu ya kutofanya usajili hivyo imetumia kipindi hiki kusajili…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *