Kejeli za Simba, Yanga Zinachosha
Hivi visanga vinavyotoka katika soka la Tanzania havijawahi kutokea sehemu yoyote duniani. Yanga na Simba hazijawahi kuwa na timu imara,
Hivi visanga vinavyotoka katika soka la Tanzania havijawahi kutokea sehemu yoyote duniani. Yanga na Simba hazijawahi kuwa na timu imara zote kwa wakati mmoja tangu ligi kuu ya Tanzania Bara ilipoanza mwaka 1965. Msimu huu inaonekana kabisa huenda timu hizi zina vikosi imara kila mmoja. Yanga wamesajili nyota wengi wanaonekana ni washindani watakao leta chachu katika ligi, tofauti na ile ya msimu…
,
Comments (0)