Kigwangala, Mo Dewji Hapatoshi Twitter

Kinachoendelea katika ukurasa wa Twitter wa Waziri wa Utalii na Maliasili,  Hamisi Kigwangala juu ya uwekezaji wa Mohammed Dewji   ‘Mo’,

Kinachoendelea katika ukurasa wa Twitter wa Waziri wa Utalii na Maliasili, Hamisi Kigwangala juu ya uwekezaji wa Mohammed Dewji ‘Mo’ na zile milioni 20 zinaendelea kuchukua sura mpya. Kigwangala ameandika mengi akihoji mambo mbalimbali ya uhalali wa ‘Mo’ kuendelea kuongoza Simba wakati huo bado hajaweka fedha za hisa katika ‘bank’. Anauliza bodi ya Simba juu ya 49% ya hisa nani ataweza kumpa jibu…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *