Kiu Ya Kiduka Ni Mwakinyo

Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi.,

Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi. Kauli hii aliitoa wiki mbili zilizopita ameirudia tena siku ya jumatano alipokuwa anafanya mahojiano na moja ya kituo cha Radio hapa nchini. Kiduku ametoka kumchapa kwa pointi Abadallah Pazi ā€˜Dulla Mbabeā€™ katika pambano la raundi kumi. Baada ya ushindi huo amepaa…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *