Kwanini uwanja wa Yanga usiitwe GSM ?

Ile dunia ya ujamaa iliondoka na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na haitoweza kurudi tena. Tuko kwenye dunia ya kibepari. Dunia,

Ile dunia ya ujamaa iliondoka na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na haitoweza kurudi tena. Tuko kwenye dunia ya kibepari. Dunia ambayo inaruhusu vitu vingi kufanyika katika jicho la kibiashara zaidi na kuliko kujuana. Dunia ambayo ina lenga faida zaidi kuliko kutoa. Kila anayetoa kwenye hii dunia hutazamia apate faida. Ni ngumu kuirudisha dunia ya ujamaa kwa sababu imeshapita muda mrefu.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *