Messi: Pigo kwa EPL

Kuna watu watafurahika kutokana na Ligi Kuu ya England (EPL) kuponyokwa na nyota mwingine aliyekaribia kutua. Huyo ni nahodha na,

Kuna watu watafurahika kutokana na Ligi Kuu ya England (EPL) kuponyokwa na nyota mwingine aliyekaribia kutua. Huyo ni nahodha na mshambuliaji maarufu wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi ambaye majuzi ametikisa kiberiti kutaka kuondoka Katalunya. Ile tetesi kutokea tu, tayari baadhi ya klabu za EPL, hasa Manchester City, zikanyanyua macho, masikio na mikono…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *