Tutarajie nini msimu mpya wa soka?

Msimu mpya wa soka unaanza England hivi karibuni, japokuwa dirisha la usajili litabaki wazi hadi Oktoba 5, huku wachezaji waliosajiliwa,

Msimu mpya wa soka unaanza England hivi karibuni, japokuwa dirisha la usajili litabaki wazi hadi Oktoba 5, huku wachezaji waliosajiliwa kujiunga na Ligi Kuu ya England (EPL) wanaweza kuwasha moto na kuzipaisha timu zao. Wiki za mwanzo bila shaka zitakuwa na msisimko, baada ya msimu uliopita kumalizika kimya kimya kutokana na athari za virusi vya Corona vinavyosababisha homa kali ya mapafu.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *