VPL: Rekodi ya Sabiyanka haijavunjwa

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 walioupata Kinondoni Municipal Council (KMC) dhidi ya Mbeya City wamepanda hadi nafasi ya kwanza,

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 walioupata Kinondoni Municipal Council (KMC) dhidi ya Mbeya City wamepanda hadi nafasi ya kwanza ya msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara . Awali Simba ndio ilikuwa inaongoza msimamo huo baada ya kuitandika Ihefu FC mabao 2-1 katika siku ya kwanza ya ufunguzi wa ligi katika mzuko wa kwanza. Sabiyanka bado anashikilia rekodi ya kufunga goli la mapema zaidi kwani iliibutua…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *