VPL: Simba ni Moto, Yanga Yapooza..

Ligi kuu Tanzania  imeanza leo jumapili ambapo timu mbalimbali zilioneshana umwamba. Mechi zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni ile ya Simba,

Ligi kuu Tanzania imeanza leo jumapili ambapo timu mbalimbali zilioneshana umwamba. Mechi zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni ile ya Simba na Yanga hasa kuona sajili mpya zinafanya kazi ipi. Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Simba SC waliwapa raha wapenzi na mashabiki wao kwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu FC ambayo yanawapa uongozi wa ligi kwa alama tatu muhimu.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *