Yanga itatoa ushindani kwa Simba

Misimu mitatu iliyopita Simba imekuwa ni timu ambayo ina kikosi imara. Kikosi ambacho kimeisaidia Simba kuchukua ubingwa wa ligi kuu,

Misimu mitatu iliyopita Simba imekuwa ni timu ambayo ina kikosi imara. Kikosi ambacho kimeisaidia Simba kuchukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara mara tatu mfululizo. Moja ya kitu kikubwa ambacho kiliwasaidia Simba kuwa bora zaidi ndani ya misimu mitatu iliyopita ni wao kutengeneza kikosi imara chenye wachezaji bora na imara. Walisajili wachezaji wazuri ndani ya kikosi chao. Kila nafasi ndani ya…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *