Posted By Posted On

Yanga wanajichafua wenyewe

   Ulitazama tamasha la Wiki ya Mwananchi? Moja ya tamasha bora la kimpira kuwahi kutokea nchini. Hongera kwa Yanga kwenye,

Ulitazama tamasha la Wiki ya Mwananchi? Moja ya tamasha bora la kimpira kuwahi kutokea nchini. Hongera kwa Yanga kwenye hili. Wanahitaji pongezi sana kwa sababu mbalimbali. Yanga ilikuwa na sura ambayo kwa haraka haraka ni ngumu kuwakaribisha wadhamini kuja kuwekeza pesa zao kwa sababu hawakuwa na bidhaa nyingi za kuwauza wadhamini. Wiki ya mwananchi ilikuwa ni njia nzuri ya kuwaonesha wadhamini…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *