Posted By Posted On

Aston Villa walivyowazidi kete wapinzani EPL

Aston Villa waliofaulu kubaki Ligi Kuu ya England (EPL) kwa kuponea kwenye tundu la sindano kushuka kiangazi hiki, wamefanikiwa kuwazidi,

Aston Villa waliofaulu kubaki Ligi Kuu ya England (EPL) kwa kuponea kwenye tundu la sindano kushuka kiangazi hiki, wamefanikiwa kuwazidi kete wapinzani wao kwenye ligi hii maarufu zaidi duniani. hilo ni katika kufanikiwa kumsajili Ollie Watkins kwa pauni milioni 28, baada ya kuwa taifa na dunia kukumbwa na kutikiswa na virusi vya Corona vinavyosababisha homa kali ya mapafu na kuua maelfu ya watu…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *