Posted By Posted On

Hawa ndiyo ‘maadui’ wa Gareth Bale Real Madrid

Ni wazi sasa Gareth Bale anaondoka Real Madrid. Ni wazi msimamo wa Zinedine Zidane juu ya Bale ni uleule, hasa,

Ni wazi sasa Gareth Bale anaondoka Real Madrid. Ni wazi msimamo wa Zinedine Zidane juu ya Bale ni uleule, hasa tukitazama mechi za 10 za mwisho msimu uliopita, Bale hakupewa nafasi ya kutosha kama Rodrygo Goes, Vinicius Junior, Lucas Vazquez na Eden Hazard. Bale hakuwa na msimu mzuri na mchango wake ulikuwa hafifu kutokana na uhusiano mbovu kati yake na Zinedine Zidane. Ni wazi msimu mpya utamkuta…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *