Posted By Posted On

MABINGWA WATETEZI, PSG WAANZA VIBAYA LIGUE 1 BAADA YA KUPIGWA 1-0 NA LENS

Wachezaji wa Racing Club de Lens wakipongezana baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Paris Saint-Germain kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa bao pekee la mshambuliaji Mcameroon, Ignatius Kpene Ganago dakika ya 57 Uwanja wa Bollaert-Delelis Jijini Lens. PSG iliyokuwa inacheza mechi yake ya kwanza ya msimu mpya, iliwakosa nyota wake wote, Neymar, Kylian Mbappe na Angel Di Maria PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

Wachezaji wa Racing Club de Lens wakipongezana baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Paris Saint-Germain kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa bao pekee la mshambuliaji Mcameroon, Ignatius Kpene Ganago dakika ya 57 Uwanja wa Bollaert-Delelis Jijini Lens. PSG iliyokuwa inacheza mechi yake ya kwanza ya msimu mpya, iliwakosa nyota wake wote, Neymar, Kylian Mbappe na Angel Di Maria PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *