Posted By Posted On

Ni duka la Yanga au GSM ?

Mzigo wa jezi za msimu mpya za klabu ya Yanga tayari ushafika. Jezi hizi zimeshaandaliwa mazingira mazuri ya kuuzwa. Moja,

Mzigo wa jezi za msimu mpya za klabu ya Yanga tayari ushafika. Jezi hizi zimeshaandaliwa mazingira mazuri ya kuuzwa. Moja ya kitu ambacho kimefanywa ni kuanzishwa kwa duka kwenye jengo la makao makuu ya klabu yaliyopo mtaa wa jangwani. Mtaa ambao umebeba historia kubwa ya klabu ya Yanga. Ndiyo mtaa ambao uwanja wa Kaunda, uwanja unaomilikiwa na Yanga unapatikana. Ndiyo mtaa ambao jengo la makao…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *