Posted By Posted On

YANGA SC YAZINDUA JEZI ZA MSIMU MPYA PAMOJA NA DUKA LA VIFAA VYA MICHEZO MAKAO MAKUU YA KLABU, JANGWANI

Kiungo Muangola wa Yanga SC, Carlos Carlinhos akifurahia wakati wa kuonyesha jezi za msimu mpya za nyumbani za klabu yake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City keshokutwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es SalaamMshambuliaji Mghana wa Yanga SC, Michael Sarpong akionyesha jezi mpya ya ugenini ya timu hiyo Pamoja na jezi mpya, Yanga SC imezindua duka la vifaa vya michezo makao makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam,

Kiungo Muangola wa Yanga SC, Carlos Carlinhos akifurahia wakati wa kuonyesha jezi za msimu mpya za nyumbani za klabu yake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City keshokutwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

Mshambuliaji Mghana wa Yanga SC, Michael Sarpong akionyesha jezi mpya ya ugenini ya timu hiyo 

Pamoja na jezi mpya, Yanga SC imezindua duka la vifaa vya michezo makao makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *