Posted By Posted On

Jezi za YANGA zitauza AFRICA

Kuna vitu viwili ambavyo watu wanatakiwa kuvifahamu kuhusu jezi ya Yanga. Achana na uzuri au ubaya wa jezi hizi kitu,

Kuna vitu viwili ambavyo watu wanatakiwa kuvifahamu kuhusu jezi ya Yanga. Achana na uzuri au ubaya wa jezi hizi kitu ambacho mimi binafsi sitaki kukizungumzia. Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi huwa wanakitumia katika kukuza masoko kwenye bidhaa zao wanazozalisha. Wafanyabiashara wengi huuza hisia zilizo ndani ya bidhaa ila huwa hawauzi bidhaa tu. Bidhaa ambazo huwa wanauza huongezewa…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *