Liverpool, Leeds United, magoli saba!
BAADA ya miaka 16 hatimaye Leeds United wameanza kuweka mguu sawa Ligi Kuu England licha ya kunyukwa mabao 4-3 na,
BAADA ya miaka 16 hatimaye Leeds United wameanza kuweka mguu sawa Ligi Kuu England licha ya kunyukwa mabao 4-3 na mabingwa watetezi Liverpool kwenye mchezo wa kwanza wa msimu wa 2020/2021 uliochezwa kwenye dimba la Anfield jijini Liverpool. Mabingwa hao wa EPL walionesha dalili za kuibuka na ushindi katika dakika 4 ya mchezo huo nyota Mohammed Salah kupachika bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju wa…
,
Comments (0)