Posted By Posted On

MOTO WA LIGI KUU ENGLAND UNAWAKA NAMNA HII

 LEO, Septemba 12 kivumbi cha Ligi Kuu England kibaanza rasmi kutimua vumbi.Bingwa mtetezi ni Liverpool inayonolewa na Jurgen Klopp ina kazi ya kuanza kusaka pointi tatu muhimu.Ratiba ya leo ipo namna hii:-Fulham v Arsenal,  saa 8:30 mchana.Crystal Palace v Southampton,  saa 11:00 jioni.West Ham United v Newcastle United,  saa 11:00 jioni.Liverpool v Leeds United,  saa 1:30 Usiku.,

 

LEO, Septemba 12 kivumbi cha Ligi Kuu England kibaanza rasmi kutimua vumbi.

Bingwa mtetezi ni Liverpool inayonolewa na Jurgen Klopp ina kazi ya kuanza kusaka pointi tatu muhimu.

Ratiba ya leo ipo namna hii:-

Fulham v Arsenal,  saa 8:30 mchana.

Crystal Palace v Southampton,  saa 11:00 jioni.

West Ham United v Newcastle United,  saa 11:00 jioni.

Liverpool v Leeds United,  saa 1:30 Usiku.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *