Posted By Posted On

SIMBA YAIDAI MABAO 20 MTIBWA SUGAR FC

 LEO, Septemba 12, Mtibwa Sugar itaikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kwa kila timu kuingia ndani ya uwanja kusaka pointi tatu muhimu.Rekodi zinaonyesha kuwa ndani ya misimu nane ambayo wamekutana kwenye ligi, Mtibwa Sugar imefungwa jumla ya mabao 20 huku wao wakiifunga Simba mabao matano.Wakiwa wamekutana mara 16, rekodi zinaonesha kuwa Simba imeshinda mara tisa huku Mtibwa Sugar ikishinda mara mbili na sare tano. Rekodi zao zipo namna hii:-2012/13Mtibwa Sugar 2-0 Simba, Simba 0-1 Mtibwa Sugar2013/14, Simba 2-0 Mtibwa Sugar, Mtibwa 1-1 Simba.2014/15, Mtibwa Sugar 1-1 Simba, Simba 1-0 Mtibwa Sugar. 2015/16, Simba 1-0 Mtibwa Sugar,Mtibwa Sugar 0-1 Simba. 2016/17, Simba 2-0 Mtibwa Sugar,Mtibwa Sugar 0-0 Simba.2017/18,Simba 1-1 Mtibwa Sugar, Mtibwa Sugar 0-1 Simba. 2018/19, Simba 3-0 Mtibwa Sugar, Mtibwa 0-0 Simba.2019/20, Simba 2-1Mtibwa SugarMtibwa Sugar 0-3 Simba.,


 LEO, Septemba 12, Mtibwa Sugar itaikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kwa kila timu kuingia ndani ya uwanja kusaka pointi tatu muhimu.

Rekodi zinaonyesha kuwa ndani ya misimu nane ambayo wamekutana kwenye ligi, Mtibwa Sugar imefungwa jumla ya mabao 20 huku wao wakiifunga Simba mabao matano.

Wakiwa wamekutana mara 16, rekodi zinaonesha kuwa Simba imeshinda mara tisa huku Mtibwa Sugar ikishinda mara mbili na sare tano.
 Rekodi zao zipo namna hii:-2012/13
Mtibwa Sugar 2-0 SimbaSimba 0-1 Mtibwa Sugar

2013/14Simba 2-0 Mtibwa SugarMtibwa 1-1 Simba.


2014/15Mtibwa Sugar 1-1 Simba
Simba 1-0 Mtibwa Sugar2015/16Simba 1-0 Mtibwa Sugar
,Mtibwa Sugar 0-1 Simba2016/17Simba 2-0 Mtibwa Sugar,Mtibwa Sugar 0-0 Simba.

2017/18,Simba 1-1 Mtibwa SugarMtibwa Sugar 0-1 Simba2018/19, Simba 3-0 Mtibwa Sugar, Mtibwa 0-0 Simba.2019/20Simba 2-1Mtibwa Sugar
Mtibwa Sugar 0-3 Simba.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *