
HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO SEPTEMBA 13
LEO Jumapili, Septemba 13. Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili.Hizi hapa zitakuwa uwanjani:-Ihefu v Ruvu Shooting, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.Biashara United v Mwadui FC, Uwanja wa Karume, Mara.Yanga v Mbeya City, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.,
LEO Jumapili, Septemba 13. Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili.
Hizi hapa zitakuwa uwanjani:-
Ihefu v Ruvu Shooting, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Biashara United v Mwadui FC, Uwanja wa Karume, Mara.
Yanga v Mbeya City, Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.
,
Comments (0)