Posted By Posted On

Simba ina wachezaji bora na siyo timu bora

Wakati naitazama Simba kwenye mechi dhidi ya Namungo FC, mechi ya ngao ya jamii mechi dhidi ya Ihefu FC mechi,

Wakati naitazama Simba kwenye mechi dhidi ya Namungo FC, mechi ya ngao ya jamii mechi dhidi ya Ihefu FC mechi yao ya kwanza ya ligi kuu na mechi ya jana dhidi ya Mtibwa Sugar kitu pekee ambacho kilikuwa kinakuja akilini mwangu ni PSG. Nilikuwa nawaona PSG kwenye timu ya Simba. Kwanini nilikuwa nawaona PSG? Nilimtazama Aishi Manula golini kwake nikarudi kwenye benchi nikamkuta Beno Kakolanya.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *