Posted By Posted On

UWANJA WA KARUME, MARA WAFUNGIWA NA BODI YA LIGI

 Bodi ya Ligi Kuu Bara Tanzania,(TBLB) imeufungia Uwanja wa Karume wa Mara leo Septenba 13 kuchezewa mechi zozote za mashindano kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch) na vyumba vya kubadilishia nguo kutokidhi vigezo na imetoa siku 21 kufanyiwa marekebisho. ,

 

Bodi ya Ligi Kuu Bara Tanzania,(TBLB) imeufungia Uwanja wa Karume wa Mara leo Septenba 13 kuchezewa mechi zozote za mashindano kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch) na vyumba vya kubadilishia nguo kutokidhi vigezo na imetoa siku 21 kufanyiwa marekebisho. 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *