Posted By Posted On

VPL:YANGA O-0 MBEYA CITY

 Kipindi cha PiliUwanja wa MkapaYanga 0-0 Mbeya CityKipindi cha pili Yanga imefanya mabadiliko kwa kumtoa Kaseke anaingia YacoubaMCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Mkapa wa Ligi Kuu Bara ni kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City ya Mbeya.Kwa sasa ni kipindi cha pili ambapo timu zote zilikwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo zikiwa zimetoshana nguvu bila kufungana.Mbeya City mchezo wake uliopita Ligi mbele ya KMC ilifungwa mabao 4-0 huku Yanga ikilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania.Mashabiki wamejitokeza wengi kushuhudia mechi ya leo Septemba 13.,

 


Kipindi cha Pili

Uwanja wa Mkapa

Yanga 0-0 Mbeya City

Kipindi cha pili Yanga imefanya mabadiliko kwa kumtoa Kaseke anaingia Yacouba
MCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Mkapa wa Ligi Kuu Bara ni kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City ya Mbeya.


Kwa sasa ni kipindi cha pili ambapo timu zote zilikwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo zikiwa zimetoshana nguvu bila kufungana.


Mbeya City mchezo wake uliopita Ligi mbele ya KMC ilifungwa mabao 4-0 huku Yanga ikilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania.


Mashabiki wamejitokeza wengi kushuhudia mechi ya leo Septemba 13.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *