Posted By Posted On

EPL imerejea

Ligi Kuu ya England (EPL) imeanza kwa kishindo, baadhi ya vigogo wakipigwa kwenye raundi ya kwanza isivyotarajiwa. Mambo yalichacha kwa,

Ligi Kuu ya England (EPL) imeanza kwa kishindo, baadhi ya vigogo wakipigwa kwenye raundi ya kwanza isivyotarajiwa. Mambo yalichacha kwa ‘The Only One’ Jose Mourinho na timu yake ya Tottenham Hotspur. Raha zimeanza tena, siku 48 tu tangu kumalizika kwa msimu ulioshuhudia Liverpool wakitwaa ubingwa, lakini pia dirisha la usajili la majira haya ya joto halijachangamkiwa kutokana na ukata wa klabu…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *