Posted By Posted On

NENO LA NEYMAR JR BAADA YA KULIMWA KADI NYEKUNDU

 NEYMAR Jr alikuwa miongoni mwa wachezaji watano waliotolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa ambao PSG ilifungwa kwa bao 1-0.Wakati anaondoka uwanjani Neymar alimwambia mwamuzi wa akiba kuwa alisikia maneno ya kibaguzi kutoka kwa mchezaji wa Marseille.Leandro Paredes na Layvin Kurzawa kwa upande wa PSG na Jordan Amavi na Dario Benedetto wa Marseille walijumuishwa kwa pamoja ambapo walionyeshwa kadi nyekundu.Kabla ya kadi hiyo nyekundu, mwamuzi alikwenda kutazama video ya usaidizi (VAR) na kubaini Neymar alimpiga nyota wa Marseille, Alvaro GonzalezUgomvi ulitokana na nyota wa Marseille, Benedictto kumsukuma Paredes wa PSG ambaye pia alirudishia na kuleta taharuki.Katika tukio hilo wachezaji Lavyin Kurzawa wa PSG na Amavi walionyeshana ubabe kiasi cha kuonyeshwa kadi nyekundu moja kwa moja.,

 


NEYMAR Jr alikuwa miongoni mwa wachezaji watano waliotolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa ligi kuu ya Ufaransa ambao PSG ilifungwa kwa bao 1-0.

Wakati anaondoka uwanjani Neymar alimwambia mwamuzi wa akiba kuwa alisikia maneno ya kibaguzi kutoka kwa mchezaji wa Marseille.


Leandro Paredes na Layvin Kurzawa kwa upande wa PSG na Jordan Amavi na Dario Benedetto wa Marseille walijumuishwa kwa pamoja ambapo walionyeshwa kadi nyekundu.


Kabla ya kadi hiyo nyekundu, mwamuzi alikwenda kutazama video ya usaidizi (VAR) na kubaini Neymar alimpiga nyota wa Marseille, Alvaro Gonzalez

Ugomvi ulitokana na nyota wa Marseille, Benedictto kumsukuma Paredes wa PSG ambaye pia alirudishia na kuleta taharuki.


Katika tukio hilo wachezaji Lavyin Kurzawa wa PSG na Amavi walionyeshana ubabe kiasi cha kuonyeshwa kadi nyekundu moja kwa moja.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *