Posted By Posted On

POLISI TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU, YAICHBAPA NAMUNGO FC 1-0 PALE PALE MAJALWA

TIMU ya Polisi Tanzania imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Namungo FC 1-0, bao pekee la winga Rashid Juma dakika ya 76 Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.Ikumbukwe mechi ya kwanza Polisi Tanzania ilifungwa 1-0 na Azam FC Jijini Dar es Salaam, wakati Namungo FC iliichapa Coastal Union 1-0 pia   ,

TIMU ya Polisi Tanzania imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Namungo FC 1-0, bao pekee la winga Rashid Juma dakika ya 76 Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Ikumbukwe mechi ya kwanza Polisi Tanzania ilifungwa 1-0 na Azam FC Jijini Dar es Salaam, wakati Namungo FC iliichapa Coastal Union 1-0 pia   

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *