Posted By Posted On

Yanga Na Simba Hazichezi Ugenini

Hivi kuna anayeamini kuwa Yanga na Simba zinakuwa ugenini zikicheza ligi kuu Tanzania Bara. Huenda ukajibu kimyakimya vile unavyohisi moyoni,

Hivi kuna anayeamini kuwa Yanga na Simba zinakuwa ugenini zikicheza ligi kuu Tanzania Bara. Huenda ukajibu kimyakimya vile unavyohisi moyoni juu ya swala hili lakini cha kufahamu kuwa Yanga na Simba kwa Tanzania hazichezi ugenini. Timu hizi zinacheza ugenini pindi zinapoenda kimataifa tu ila sio ligi ya ndani au katika kombe la Mapinduzi ambalo huchezwa kule Zanzibar.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *