Posted By Posted On

CHELSEA YAANZA NA USHINDI WA 3-1 UGENINI DHIDI YA BRIGHTON & HOVE ALBION

Wachezaji wa Chelsea wakipongezana kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Amex. Mabao ya The Blues yalifungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 23, Reece James dakika ya 56 na Kurt Zouma dakika ya 66, wakati la Brighton lilifungwa na Leandro Trossard dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

Wachezaji wa Chelsea wakipongezana kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Amex. Mabao ya The Blues yalifungwa na Jorginho kwa penalti dakika ya 23, Reece James dakika ya 56 na Kurt Zouma dakika ya 66, wakati la Brighton lilifungwa na Leandro Trossard dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *