Posted By Posted On

KARIA NA RAIS WA FFB, REVERIEN NDIKURIYE WALIVYOZINDUA SEMINA YA WANAWAKE LEO DAR

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Burundi (FFB), Reverien Ndikuriye wakati wa kuzindua Semina ya Uongozi ya Wanawake leo Uwanja wa Karume Jijini Dar es SalaamRais wa TFF, Wallace Karia akiwa na viongozi mbalimbali wa michezo nchini pamoja na Rais wa FFB, Reverien NdikuriyeRais wa TFF, Wallace Karia akiwa na viongozi na washiriki wa Semina hiyo,

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Burundi (FFB), Reverien Ndikuriye wakati wa kuzindua Semina ya Uongozi ya Wanawake leo Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam

Rais wa TFF, Wallace Karia akiwa na viongozi mbalimbali wa michezo nchini pamoja na Rais wa FFB, Reverien Ndikuriye

Rais wa TFF, Wallace Karia akiwa na viongozi na washiriki wa Semina hiyo

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *