Posted By Posted On

AUBAMEYANG alivyokataa kuwa VAN PERSIE

Moja ya kitu ambacho Arsenal kimewagharimu kwa kiasi kikubwa na kwa muda mrefu ni wao kuondokewa na wachezaji wao nyota,

Moja ya kitu ambacho Arsenal kimewagharimu kwa kiasi kikubwa na kwa muda mrefu ni wao kuondokewa na wachezaji wao nyota kwenye kikosi chao. Kuna nyakati ambazo Arsenal ilimwihitaji Thierry Henry ili kuendeleza walipofikia kwenye fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya mwaka 2006 lakini ghafla Thierry Henry aliondoka. Barcelona ndiyo sehemu ambayo Thierry Henry alitumia baada ya kutoka Arsenal.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *