Posted By Posted On

BENKI YA KCB YAONGEZA MKATABA WA KUWA MDHAMINI MWENZA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na benki ya KCB Tanzania wakionyesha mfano wa hundi ya Sh. Milioni 500 waliyokabidhiwa na Mkurugenzi wa Huduma za Benki kwa Wateja Wakubwa wa benki ya KCB Tanzania, Barry Chale baada ya kusaini mkataba mpya wa udhamini mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Jijini Dar es Salaam.,

Viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na benki ya KCB Tanzania wakionyesha mfano wa hundi ya Sh. Milioni 500 waliyokabidhiwa na Mkurugenzi wa Huduma za Benki kwa Wateja Wakubwa wa benki ya KCB Tanzania, Barry Chale baada ya kusaini mkataba mpya wa udhamini mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Jijini Dar es Salaam.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *