Bodi Ya Ligi Na TFF Lawama Nyingi!
Sikumbuki mara ya mwisho wadau wa soka kuacha kutoa lawama kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) juu ya,
Sikumbuki mara ya mwisho wadau wa soka kuacha kutoa lawama kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) juu ya maendeleo mbalimbali ya michezo. Ilikuwa tangu zamani Taasisis hii ikiitwa ‘FAT’ na sasa imebadilika na kuwa TFF, viongozi wengi wamepita hapo kila mmoja akifanya yake, lengo la kila mmoja kuusogeza soka mbele ila mipango haipo thabiti ndio maana lawama zipo nyingi.
,
Comments (0)