Posted By Posted On

Huyu ndiye nahodha anayewafaa Yanga..

Jumamosi wiki hii saa 10 jioni kwa saa za Tanzania wakongwe wa soka nchini klabi ya Yanga watakuwa dimba la,

Jumamosi wiki hii saa 10 jioni kwa saa za Tanzania wakongwe wa soka nchini klabi ya Yanga watakuwa dimba la Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera. Kikosi cha Jangwani kitaingia kwenye mechi hiyo kikiwa kinashikilia nafasi ya 6 katika msimamo wa Ligi Kuu kwa kujikusanyia pointi 4. Yanga watakuwa kwenye dimba hilo kwa shughuli moja tu; kumenyana na timu ngumu ya Kagera Sukar inayonolewa na kocha kijana…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *