
MECHI YA KIRAFIKI: YANGA 2-0 MLANDEGE
Yanga 2-0 MlandegeUwanja wa Azam ComplexDakika ya 61 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Mlandege Goal dakika ya 59, Tunombe Mukoko Dakika ya 50MCHEZO wa kirafiki leo Septemba 16 Uwanja wa Azam Complex kati ya Yanga na Mlandege ni kipindi cha pili.Yanga inaongoza kwa bao 1-0 ambalo limefungwa ba nyota mpya wa kikosi hicho, Wazir Junior aliyeibukia kikosini humo akitokea Klabu ya Mbao. Amepachika bao hilo dakika ya 40 kwa mkwaju wa penalti baada ya mpira uliopigwa ndani ya box na Haruna Niyonzima mwamuzi kutafsri kuwa mchezaji wa Mlandege aliunawa.,
Yanga inaongoza kwa bao 1-0 ambalo limefungwa ba nyota mpya wa kikosi hicho, Wazir Junior aliyeibukia kikosini humo akitokea Klabu ya Mbao.
Amepachika bao hilo dakika ya 40 kwa mkwaju wa penalti baada ya mpira uliopigwa ndani ya box na Haruna Niyonzima mwamuzi kutafsri kuwa mchezaji wa Mlandege aliunawa.
,
Comments (0)