Posted By Posted On

PRINCE DUBE AFUNGA TENA LAKINI AZAM FC YACHAPWA MABAO 2-1 NA TRANSIT CAMP CHAMAZI

MSHAMBULIAJI mpya, Mzimbabwe, Prince Dube (kushoto) na leo amefunga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp ya Daraja la kwanza, lakini Azam FC imechapwa 2-1 Uwanja wa pili wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Transit Camp inayomilikwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), ambayo inajiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara yamefungwa na Abdallah Kheri aliyejifunga na Damas Makwaya ,

MSHAMBULIAJI mpya, Mzimbabwe, Prince Dube (kushoto) na leo amefunga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp ya Daraja la kwanza, lakini Azam FC imechapwa 2-1 Uwanja wa pili wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. 

Mabao ya Transit Camp inayomilikwa na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), ambayo inajiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara yamefungwa na Abdallah Kheri aliyejifunga na Damas Makwaya 


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *