Posted By Posted On

RAIS TBF AOMBA WADAU WAENDELEE KUTOA SAPOTI

 PHARES Magesa, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania,(TBF) amewaomba wadau wa mpira wa kikapu waendelee kujitokeza kutoa sapoti katika maendeleo ya mpira huo. Magesa amesema kuwa maendeleo makubwa ya mpira wa kikapu ndani ya Tanzania yanahitaji sapoti kubwa kutoka kwa wadau na wanafamilia ya michezo.  “Kikubwa tunahitaji kuona maendeleo katika kikapu na ili kuweza kufika malengo hayo tunahitaji sapoti kubwa kutoka kwa wadau na wanafamilia ya michezo ili kufikia malengo yetu,” amesema.Pia Magesa ameishukuru Serikali kwa kuwapa sapoti kwa kuwaboreshea na kuwajengea viwanja vipya vya mchezo wa kikapu na kuwaomba wadau waendelee kusapoti kikapu. ,


 PHARES Magesa, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania,(TBF) amewaomba wadau wa mpira wa kikapu waendelee kujitokeza kutoa sapoti katika maendeleo ya mpira huo.

 Magesa amesema kuwa maendeleo makubwa ya mpira wa kikapu ndani ya Tanzania yanahitaji sapoti kubwa kutoka kwa wadau na wanafamilia ya michezo.  

“Kikubwa tunahitaji kuona maendeleo katika kikapu na ili kuweza kufika malengo hayo tunahitaji sapoti kubwa kutoka kwa wadau na wanafamilia ya michezo ili kufikia malengo yetu,” amesema.

Pia Magesa ameishukuru Serikali kwa kuwapa sapoti kwa kuwaboreshea na kuwajengea viwanja vipya vya mchezo wa kikapu na kuwaomba wadau waendelee kusapoti kikapu.

 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *