Posted By Posted On

MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA GIRONA 3-1 MCHEZO WA KIRAFIKI

MSHAMBULIAJI Lionel Messi akipongezwa baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika ya 45 na 51 na kuseti moja lililofungwa na Philippe Coutinho katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Johan Cruyff, bao la wageni likifungwa na Samuel Saiz dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

MSHAMBULIAJI Lionel Messi akipongezwa baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika ya 45 na 51 na kuseti moja lililofungwa na Philippe Coutinho katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Johan Cruyff, bao la wageni likifungwa na Samuel Saiz dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *