
TANZANITE QUEENS KUINGIA KAMBINI JUMANNE KUJIANDAA KUIVAA SENEGAL KUFUZU KOMBE LA DUNIA
KIKOSI cha Wachezaji wa 40 wa timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens kitaingia kambini Jumanne ijayo Septemba 22 kujiandaa na mchezo dhidi ya Senegal kufuzu kombe la Dunia.,
KIKOSI cha Wachezaji wa 40 wa timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens kitaingia kambini Jumanne ijayo Septemba 22 kujiandaa na mchezo dhidi ya Senegal kufuzu kombe la Dunia.
,
Comments (0)