Uchambuzi mzunguko wa tatu VPL
Wakati ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajia kuendelea kuchezwa raundi ya tatu wiki hii vigogo Yanga, Simba na Azam nazo zitakua,
Wakati ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajia kuendelea kuchezwa raundi ya tatu wiki hii vigogo Yanga, Simba na Azam nazo zitakua na jambo lao. Yanga Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu Bara timu ya Yanga ama Wananchi kama wanavyojiita watakuwa na kibarua ugenini watachuana na Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Mchezo huu utakuwa mgumu hasa kwa Kagera Sugar kukosa matokeo mazuri katika…
,
Comments (0)