Posted By Posted On

Zidane apange wakongwe au chipukizi?

Mshabiki wanashangilia tu. Viongozi wanasajili tu. Wadau wanajadili zaidi. lakini makocha hawalali usingizi linapofika suala la kuamua kikosi cha kucheza,

Mshabiki wanashangilia tu. Viongozi wanasajili tu. Wadau wanajadili zaidi. lakini makocha hawalali usingizi linapofika suala la kuamua kikosi cha kucheza kwenye pambano lolote. Real Madrid kikosi cha kwanza kipo imara kwa sasa kuliko kilivyokuwa msimu uliopita, licha ya mabosi wa timu hiyo kutofanya usajili wa wachezaji wapya angalau hadi sasa. Wachezaji wakongwe katika kikosi cha Real Madrid…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *