Posted By Posted On

Bosi wa Simba na taswira ya wanawake katika michezo

Barbara Gonzalez ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa mkubwa ngazi ya klabu nchini Tanzania. Tangu kuteuliwa kwake kushika wadhifa wa,

Barbara Gonzalez ni mwanamke wa kwanza kushika wadhifa mkubwa ngazi ya klabu nchini Tanzania. Tangu kuteuliwa kwake kushika wadhifa wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa mabingwa hao wa soka, Barbara hakuwa amezungumza na vyombo vya habari. Gumzo kubwa liliibuka juu ya uteuzi wake. Lakini ukweli uliopo sasa Barbara ndiye bosi wa Simba na msimamizi wa shughuli za kila siku za klabu hiyo.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *