Posted By Posted On

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO IPO HIVI

 LEO Septemba 18, Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo wadhamini wake wakuu ni Kampuni ya Vadacom inaendelea ambapo ni mzunguko wa tatu kwa sasa baada ya ule wa kwanza na wa pili kukamilika.Mechi mbili zitachezwa ambapo kila timu itapambana kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-Ihefu iliyo ya saba na pointi zake tatu itamenyana na Mtibwa Sugar iliyo na pointi mbili ikiwa nafasi ya 11, Uwanja wa Sokoine.Polisi Tanzania iliyo na pointi tatu ikiwa nafasi ya 9 itamenyana na JKT Tanzania iliyo na pointi tatu nafasi ya 10, Uwanja wa Ushirika.,


 LEO Septemba 18, Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo wadhamini wake wakuu ni Kampuni ya Vadacom inaendelea ambapo ni mzunguko wa tatu kwa sasa baada ya ule wa kwanza na wa pili kukamilika.


Mechi mbili zitachezwa ambapo kila timu itapambana kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-

Ihefu iliyo ya saba na pointi zake tatu itamenyana na Mtibwa Sugar iliyo na pointi mbili ikiwa nafasi ya 11, Uwanja wa Sokoine.


Polisi Tanzania iliyo na pointi tatu ikiwa nafasi ya 9 itamenyana na JKT Tanzania iliyo na pointi tatu nafasi ya 10, Uwanja wa Ushirika.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *