
THIAGO ALCANTARA ATUA LIVERPOOL KWA PAUNI MILIONI 25 MIAKA MINNE
KIUNGO wa kimataifa wa Hispania, Thiago Alcantara akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 25 kutoka Bayern Munich alikodumu tangu mwaka 2013 akitokea Barcelona. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 amesaini mkataba wa miaka minne wa kufanya kazi Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA ,
KIUNGO wa kimataifa wa Hispania, Thiago Alcantara akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 25 kutoka Bayern Munich alikodumu tangu mwaka 2013 akitokea Barcelona. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 amesaini mkataba wa miaka minne wa kufanya kazi Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
,
Comments (0)