Posted By Posted On

MAN UNITED YAANZA VIBAYA LIGI KUU ENGLAND, YAPIGWA 3-1 OLD TRAFFORD

TIMU ya Manchester United imeanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Crystal Palace leo Uwanja wa Old Trafford.Mabao ya Crystal Palace yamefungwa na Andros Townsend dakika ya saba na Wilfried Zaha mawili, moja kwa penalti dakika ya 74 na lingine dakika ya 85, wakati bao pekee la Man Unted limefungwa na kiungo mpya, Donny van de Beek dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

TIMU ya Manchester United imeanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Crystal Palace leo Uwanja wa Old Trafford.

Mabao ya Crystal Palace yamefungwa na Andros Townsend dakika ya saba na Wilfried Zaha mawili, moja kwa penalti dakika ya 74 na lingine dakika ya 85, wakati bao pekee la Man Unted limefungwa na kiungo mpya, Donny van de Beek dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *