
VPL: KAGERA SUGAR 0-1 YANGA
Kipindi cha pili kimeanza kwa sasaZimeongezwa dakika 3Dakika ya 87 Carlinhos anapiga kona inaokolewa na ChalamandaDakika ya 83 Mauya alitoka anaingia NiyonzimaDakika ya 71 Mukoko anapachika bao kwa guu la kuliaDakika ya 64 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi YangaDakika ya 55 Kaseke anaingia anatoka Shomari, Carlinhos anaingia anatoka YacoubaDakika ya 49 Mauya anapewa huduma ya kwanzaHakuna mabadiliko yaliyofanywaMapumziko:-Kagera Sugar 0-0 YangaKipindi cha kwanzaUwanja wa KaitabaZimeongezwa dakika 2Dakika ya 45 Sarpong anachezewa faulo na Eric anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya 42 Kibwana Shomari anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 34 Erick Mwijage anaingia anatoka Mohamed Ibrahim kwa Kagera SugarDakika ya 29 Yacouba anachezewa faulo nje kidogo ya 18Dakika ya 23 Sonso anaanzisha mashambuliziDakika ya 21 Mustapha anapeleka mashambulizi Kagera SugarDakika ya 20 Mnata anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 16 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi YangaDakika 15 za mwanzo zimekamilika kwa timu zote kutoshana nguvuMchezo kwa sasa Uwanja wa Kaitaba ni kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga ikiwa ni kipindi cha kwanza.Mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.Ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kwa msimu wa 2020/21 nje ya Dar ,
Mashabiki wengi wamejitokeza kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi ndani ya Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
Ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kwa msimu wa 2020/21 nje ya Dar
,
Comments (0)