Posted By Posted On

DIOGO JOTA ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO LIVERPOOL

MSHAMBULIAJI Mreno, Diogo Jota mwenye umri wa miaka 23 akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na mabingwa hao wa England kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni Milion 41 kutoka Wolverhampton Wanderers PICHA ZAID GONGA HAPA,


MSHAMBULIAJI Mreno, Diogo Jota mwenye umri wa miaka 23 akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na mabingwa hao wa England kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni Milion 41 kutoka Wolverhampton Wanderers
 PICHA ZAID GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *