Posted By Posted On

GARETH BALE AREJEA RASMI SPURS KWA MKOPO KUTOKA REAL MADRID

Winga wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale akiwa ameshika jezi ya Tottenham Hotspur baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Real MadrId, miaka saba tangu aondoke White Hart Lane mwaka 2013 kwa dau la rekodi ya dunia. Inaaminika Spurs itakuwa inalipa nusu ya Pauni 500,000 za mshahara wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA,


Winga wa kimataifa wa Wales, Gareth Bale akiwa ameshika jezi ya Tottenham Hotspur baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Real MadrId, miaka saba tangu aondoke White Hart Lane mwaka 2013 kwa dau la rekodi ya dunia. Inaaminika Spurs itakuwa inalipa nusu ya Pauni 500,000 za mshahara wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *