Posted By Posted On

KIKOSI CHA BIASHARA UNITED KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA

LEO Biashara United, Septemba 20 inamenyana na Simba mchezo wake wa kwanza ugenini kwa msimu wa 2020/21 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa nyumbani, Uwanja wa Karume.Hiki hapa kikosi cha kwanza kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 Usiku.Daniel Mgore 18Ally Kombo 6Ramadhan Chombo 8Deogratius Judika 15Tariq Abdallah 23Kelvin Friday 19Mpapi Salum 25Mustha Khamis 30Lenny Vedastus 14Abdulmajid Mangaro 2Omary Nassoro 22,


LEO Biashara United, Septemba 20 inamenyana na Simba mchezo wake wa kwanza ugenini kwa msimu wa 2020/21 baada ya kucheza mechi mbili ikiwa nyumbani, Uwanja wa Karume.


Hiki hapa kikosi cha kwanza kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 Usiku.

Daniel Mgore 18
Ally Kombo 6
Ramadhan Chombo 8
Deogratius Judika 15
Tariq Abdallah 23
Kelvin Friday 19
Mpapi Salum 25
Mustha Khamis 30
Lenny Vedastus 14
Abdulmajid Mangaro 2
Omary Nassoro 22
,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *