Posted By Posted On

‘Mashabiki warudi viwanjani au timu zikabiliwe na ukata’

Mabosi wa soka wametuma ujumbe mzito serikalini kupitia kikao kati ya wasimamizi wa Ligi Kuu England, chama cha soka FA,

Mabosi wa soka wametuma ujumbe mzito serikalini kupitia kikao kati ya wasimamizi wa Ligi Kuu England, chama cha soka FA na wadau wa Ligi Kuu walipokutana na Waziri wa mambo ndani,habari,utamaduni na michezo mapema jumatano wiki hii, Oliver Dowden, kuomba kibali mashabiki waruhusiwe kuingia viwanjani haraka iwezekanavyo kabla ya mambo hayajaenda kombo kwa vilabu na wadau wa ligi hiyo.

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *